Linex kucheza gemu mbili mwakani
Staa wa muziki Linex, baada ya kufanikiwa kulishika soko la Afrika Mashariki, hatua inayofuata katika muziki wake katika kuanza mwaka 2016, ni kuendesha gemu mbili tofauti kwa mara moja, akiwagawa mashabiki wake katika makundi mawili makubwa.