Chaba atumia mastaa kufikisha ujumbe
Msanii Chaba Thomas baada ya kuachia Video ya ngoma ya Chappa mwishoni mwa mwaka, ambayo ni gumzo kitaa na katika mitandao, amesema kuwa ubora na pia mifano halisia ambayo ametumia ndani ya kazi hiyo, ndio siri pekee ya mafanikio yake.