Wakazi walalamikia kero ya Maji Arumeru

Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasholi Robert Akiyoo

Wananchi waishio kijiji cha Nasholi kata ya Kikatiti wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wamelalamikia kero ya uhaba wa maji inayowakabili na kuathiri shughuli za kijamii hivyo wameiomba serikali itatue kero hiyo ili kukidhi uhitaji huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS