Dkt. Magufuli awaapisha makatibu wakuu na manaibu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu wa wizara mbalimbali na kuwasainisha kiapo cha utii na uaminifu leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.