VITA YA LIGI DARAJA LA KWANZA KURINDIMA KESHO
Ligi Daraja la Daraja la Kwanza ambayo washindi wake wa kwanza kutoka kila kundi watakwea kucheza ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo kumi na mbili kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini.