Simba mmechelewa kuchukua maamuzi kwa Kerr -Matola Aliyekuwa Kocha msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema Simba imechelewa kumtimua Kocha Dylan Kerr kwani alianza muda mrefu kuitibua klabu hiyo. Read more about Simba mmechelewa kuchukua maamuzi kwa Kerr -Matola