Mwigulu Nchemba atumbua mtu jipu machinjio ya Pugu
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba, amemfukuza kazi mkuu wa mnada wa mifugo wa Pugu, na watumishi walioshiriki kuiba ushuru wa serikali, alipoenda machinjioni hapo kukagua.