Chris Brown amdunda mwanamke

Mwanamuziki Chris Brown

Mwanamuziki Chris Brown ameuanza mwaka mpya kwa matata baada ya kutuhumiwa kumpiga ngumi ya usoni mwanamke katika pati iliyofanyika kwenye chumba chake cha hoteli Jijini Las Vegas.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS