Nchemba atumbua jipu la Pugu na Vingunguti
Waziri wa Kilimo, mifugo na Uvivu, Mhe. Mwigulu Nchemba amewafukuza kazi Mkuu wa mnada wa Pugu na watumishi waliokuwa zamu kuanzia tare 24 mwezi 12 mwaka jana hadi tarehe 1 mwaka huu kutokana na kuwepo kwa ubadhirifu wa ukwepaji kodi.