Kesi ya Bill Cosby ni ya kisiasa Mchekeshaji mkongwe wa nchini Marekani Bill Cosby Wakili wa mchekeshaji mkongwe Marekani Bill Cosby amesema shitaka la shambulio la ngono linalomkabili mteja wake huyo linamsukumo wa kisiasa. Read more about Kesi ya Bill Cosby ni ya kisiasa