Watoto mazingira magumu kuunganishwa CHF
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi amesema kuwa atawaunganisha katika huduma za afya watoto wanaoishi katika mazingira magumu ili kuweza kutibiwa bure na kusema kuwa watoto hao huenda wanaugua mara kwa mara.