Wabunge upinzani wanyimwa mwongozo, wasusia Bunge Wabunge wa upinzani wameendelea na mgomo wao wa kutoka nje ya ukumbi wa bunge baada ya kikao cha bunge kumaliza muda wa maswali na majibu kwa serikali. Read more about Wabunge upinzani wanyimwa mwongozo, wasusia Bunge