Uhai wa Twiga albino upo hatarini Twiga mweupe (albino) aliyegunduliwa kwenye hifadhi ya taifa ya Tarangire aliyepewa jina la Omo, yupo kwenye hatari ya kuuawa kutokana na utofauti wake. Read more about Uhai wa Twiga albino upo hatarini