Manyara yaongoza kwa ukatili wa ukeketaji wanawake
Serikali imesema kuwa tatizo la ukatili wa ukeketaji nchini Tanzania bado ni kubwa kwani hakuna ripoti yoyote inayoonesha jamii fulani kuacha kufanya ukatili huo hivyo zinahitajika juhudi za pamoja miongoni mwa kijamii kukabiliana na ukatili huo.

