Waziri Mkuu afurahishwa na hali ya chakula Ruvuma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini. Read more about Waziri Mkuu afurahishwa na hali ya chakula Ruvuma