Serikali kuboresha miundombinu sekta ya utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kulia) na Naibu Waziri wake Mhe. Eng. Ramo Makani (wa pili kushoto),

Serikali imesema kuwa itaendelea kufanya sekta ya Utalii kuwa chanzo kikubwa cha kuliingiza pato taifa, hivyo imejipanga kuboresha miundombinu na rasilimali watu katika kuiimarisha zaidi sekta hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS