Mkurugenzi viwanja vya ndege afariki akiogelea Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Suleiman Said amefariki dunia alipokuwa akifanya mazoezi ya kuogelea na wenzake katika bahari ya Hindi. Read more about Mkurugenzi viwanja vya ndege afariki akiogelea