Ligi kuu Bara kuendelea kesho, Azam FC Jumatatu Michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea hapo kesho katika mzunguko wake wa 17 kwa kupigwa michezo sita katika viwanja mbalimbali hapa nchini. Read more about Ligi kuu Bara kuendelea kesho, Azam FC Jumatatu