Tumejipanga kufanya vizuri mashindano yote - Bocco Kikosi cha Azam FC kinatarajia kumaliza ziara yake nchini Zambia hapo kesho kwa kucheza mchezo wa Fainali dhidi ya Zanaco ambao ni washindi wa pili wa ligi kuu nchini Zambia. Read more about Tumejipanga kufanya vizuri mashindano yote - Bocco