Viwanda alivyoacha Nyerere vimekufa - Silinde Mbunge wa Momba David Silinde amesema kwamba viwanda 366 vilivyokuwa vikifanya kazi nchini mwaka 1984 vimekufa jambo linalosababisha vijana kukosa ajira nchini. Read more about Viwanda alivyoacha Nyerere vimekufa - Silinde