uswazi
2015 tuliyaona mengi sana yaliyotokea na kufanyika uswahilini, usiyoyajua pia uliyajua, Huu hapa MSIMU MPYA WA USWAZI 2016, kaa tayari kwa msimu huu uliojaa burudani za kila aina pamoja na biashara za waswazi na maisha yao, Jumapili saa 12;30 jioni
