Tanzania kudumisha uhusiano na nchi rafiki
Serikali imesema itaendelea kudumisha na kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi rafiki na wadau wa maendeleo ili kuiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 na kutimiza malengo ya mpango wa maendeleo endelevu

