Judo kutumia kanda ya tano kuunda timu ya Olimpiki
Chama cha Judo nchini JATA kimesema kitatumia mashindano ya kanda ya tano ya Afrika Mashariki na kati kuweza kupata wachezaji watakaoweza kushiriki michuano ya Olimpiki inayotarajiwa kufanyika Mwaka huu nchini Brazili.

