Mke wa Rais amjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakary Zubeiry aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Dakta jakaya KIkwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
