Kamusoko mchezaji bora wa mwezi Disemba Kiungo Mzimbabwe,Thabani Scara Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kwa mwezi Desemba 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga SC Mrundi Amissi Tambwe. Read more about Kamusoko mchezaji bora wa mwezi Disemba