Mhifadhi Ngorongoro akamatwa kwa ujangili Mhifadhi wa hifadhi ya taifa ya Ngorongoro, Iddi Mashaka, ambaye pia ni afisa intelijensia wa hifadhi hiyo, amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio la utunguaji wa helkopta. Read more about Mhifadhi Ngorongoro akamatwa kwa ujangili