ROMA kuhalalisha mahusiano yake na Mama Ivan

ROMA na mwenzi wake na wapambe wao katika Sendoff

Msanii wa muziki Roma Mkatoliki ameamua kuhalalisha mahusiano yake na mama wa mtoto wake, akiwa sasa katika mchakato wa kuoa, mwishoni mwa wiki akikamilisha zoezi zima la send-off ya mpenzi wake huyo kuelekea harusi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS