Kombe la CAF lakatiza likizo ya Kocha Pluijm
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Hans van der Pluijm amelazimika kukatisha mapumziko yake nchini Ghana, kwa ajili kuwahi kuja kujiandaa timu kwa ajili ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF), linaloanza wiki ijayo.