Kipindupindu chaigharimu serikali sh.Bilioni 2

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,

Ugonjwa wa Kipindupindu umeigharimu Serikali zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa kuhudumia wagonjwa katika miezi tisa tangu ulipozuka Agosti 15 mwaka jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS