Mwezi wa Ramadhan ulete mabadiliko ya kweli-Jalala
Waislam nchini Tanzania wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ulioanza hii leo kwa kuwasaidia watu mbalimbali ikiwemo wenywe mahitaji maalumu na kufanya ibada ili wapate baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu.