Linah ampromoti Billnas Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga Msanii wa kike nchini Linah Sanga amefunguka juu ya kile kinachoonekana kwenye Page zake kumsapoti mara kwa mara Msanii mwenzake Billnass ambae kuna uvumi mkubwa kuwa wanatoka kimapenzi kwa siri. Read more about Linah ampromoti Billnas