Raia wa kigeni 4,792 wakamatwa nchini Tanzania

Naibu kamishna wa Uhamiaji Abbas Irovya akizungumza na waandishi wa Habari

Raia wa kigeni 4,792 wakamatwa nchini Tanzania kwa makosa mbalimbali ya kukiuka sheria za uhamiaji nchini kufuatia msako uliofanywa na idara hiyo katika kipindi cha mwezi Januari na Aprili mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS