Bandari ya Tanzania kukusanya Trilioni 1
Lengo la Mamlaka ya Bandari ya Tanzania kukusanya shilingi Trilioni 1 kwa mwaka kutoka Bilion 6 za sasa linaweza kufanikiwa kama watendaji na watumiaji wa bandari hiyo watakuwa wazi katika utekelezaji wa majukumu yao na kuacha udanganyifu.

