CHODAWU yabaini wafanyakazi wasio na vigezo nchini
Chama cha kutetea watumishi wa hifadhi,majumbani,watoa huduma na wa kwenye Mahoteli nchini Tanzania CHODAWU kimeitaka wizara ya mambo ya ndani kuwachukulia hatua wamiliki wa hoteli wanaokiuka sheria ya uajiri wa wafanyakazi wageni.