Nusu ya bidhaa zinazoingizwa nchini hazina ubora Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage amesema kunauwezekano mkubwa wa nusu ya bidhaa zinazoingizwa nchini kutoka nje ya nchi zinaingizwa nchini zikiwa chini ya viwango. Read more about Nusu ya bidhaa zinazoingizwa nchini hazina ubora