Wanafunzi wasio hakikiwa kunyimwa mkopo vyuo vikuu
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Nchini –HESLB imetoa siku saba kwa wanafunzi ambao awajahakiki taarifa zao kufanya hivyo mara moja kabla hawajatolewa kwenye orodha ya malipo ya elimu ya juu.

