Gharama za usafiri wa anga kupungua nchini. Gharama za usafiri wa anga nchini Tanzania zinatarajiwa kupungua hii ni kutokana na serikali kujiandaa kuliwezesha Shirika la Ndege nchini, (ATCL), kuwa na ndege zake lenyewe. Read more about Gharama za usafiri wa anga kupungua nchini.