Nuhu Mziwanda katika penzi jipya Msanii wa Bongo Fleva Nuhu Mziwanda Baada ya kuachana na Shilole na kumwagana pia na aliyekuwa mchumba wake mwenye asili ya kiarabu Erah,Nuhu Mziwanda ameamua kupoza moyo wake kwa mpenzi mpya ambae amemchora tatoo. Read more about Nuhu Mziwanda katika penzi jipya