Maridhiano ndiyo lugha ya upinzani- Mbatia

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mbunge wa Jimbo la Vunjo Injinia James Fransis Mbatia.

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Injinia James Fransis Mbatia amesema kwamba maamuzi yoyote ambayo kambi ya upinzani itayafanya endapo wataitwa na kamati ya maridhiano juu ya kususia Bunge wao watakachoangalia ni maslahi ya kitaifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS