MTPC yalilia mikataba ya Waandishi
Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC), kimeiomba wizara ya habari,utamaduni, sanaa na michezo kuwashinikiza waajiri kuwapatia mikataba waandishi ili kulinda masilahi yao na kutatua baadhi ya changamoto za kimkataba wanazokabiliana nazo