Ntibenda ataka viongozi wa mitaa kufichua wahalifu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda, amewaagiza watendaji wa Kata, Wenyeviti wa serikali za Mitaa, pamoja na maofisa wa polisi, kuwafichua watu wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na orodha ya watu wanaoishi katika mitaa yao.