Waandishi wa habari watakiwa kutangaza Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe.

Waandishi wa Habari nchini Tanzania wametakiwa kutumia taaluma yao vizuri katika kutumia vivutio vya utalii, vilivyomo nchini kwa kuwa ongezeko la watalii litasaidia kuinua uchumi wa Taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS