Wananchi waomba kusaidiwa changamoto za hospitali
Baadhi ya wananchi mkoani Mtwara, wamewaomba wadau wa maendeleo ikiwa ni pamoja na kampuni za uwekezaji kusaidia kutatua changamoto za miundombinu katika hospitali na vituo vya afya ikiwa ni pamoja na kutoa vitanda kwa ajili ya wagonjwa na wauguzi.
