Eva Carneiro kuuanika ubaya wa Mourinho kortini
Daktari wa zamani wa Chelsea, Eva Carneiro, anatarajiwa kuielezea mahakama ya kazi, jinsi kocha wa zamani wa klabu hiyo Jose Mourinho alivyokuwa akimnyanyasa kijinsia na kumdharau katika kazi ya ndoto zake.