Serikali yapeleka madaktari kupata mafunzo India

Katibu Mkuu wa Wizara ya ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya

Serikali ya Tanzania imesema imewapeleka madaktari wa magonjwa mbalimbali nchini India kwa ajili ya kupata mafunzo na uzoefu ili kupunguza wimbi la wagonjwa wanaokwenda kutibiwa nje kwa gharama za serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS