"Bado nipo nipo West Ham"- Payet
Tetesi nyingi za kuhusishwa kutaka kuihama Westham, pamoja na kiwango cha hali ya juu alichokionyesha kwenye michuano ya Mataifa ya Ulaya hivi karibuni, lakini hatimaye kiungo Dimitri Payet aibuka na kuvunja ukimya wa tetesi hizo.

