TID sikfanya vizuri Video ya Confidence

T.I.D MNYAMA

T.I.D amesema hataki kufanya video za kubahatisha na ndo maana ameamua kurudia sehemu na baadhi ya maeneo ya video hiyo ili watu waweze kuifurahia na ichukue nafasi kama audio ilivyofanya vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS