Prf Mbarawa Aonya TPA kupeana kazi kindugu
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Prf Makame Mbarawa itaka Bodi mpya ya usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini Tanzania (TPA) kuhakikisha inazipatia ufumbuzi changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kwa hivi sasa.