Jeshi la polisi lapiga marufuku maandamano Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano na mikutano yote ya hadhara kuanzia leo tarehe 07/06/2016 mpaka pale hali ya usalama itakapotengemaa. Read more about Jeshi la polisi lapiga marufuku maandamano