Mikoa ya Nyanda za Juu kuwa na Baridi ya Wastani
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa utabiri katika kipindi cha kuanzia mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu unaoonyesha kuwa kutakuwa na kiwango cha baridi katika mikoa ya nyanda za juu kusini